DIAMOND AFUNIKA KENYA...DIAMOND IMEKUWA DIAMOND KWELI.
Hatuna Jinsi lazima tumuandika coz ndio
msanii pekee mwenye headlines nyingi kutokana na mafanikio yake..hapa
alikuwa Kenya jana ..cheki picha alivyopagawisha kwenye show
iliyoandaliwa na kampuni ya safaricom ya Kenya.....Mwacheni Diamond
aitwe Diamond..Aka Domo
0 comments: