MWANAFUNZI ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUCHOMWA MSHALE WA JICHO
Mwanafunzi wa miaka 11 nchini China
amenusurika kufa baada ya mshale uliorushwa na rafiki yake kuzama
kichwani kwake kupitia kwenye jicho lake, aliwahishwa hospitali huku
mshale huo ukiwa bado umezama kwenye kichwa chake
-Boss Ngasa
0 comments: