MZEE MAJUTO APIGILIA MSUMARI KAULI YA KALA JEREMIAH.."SOKO LA FILAMU HALILIPI BONGO BORA NIKALIME"
Mzee Small Ameliambia Gazeti Moja la
Michezo Hapa Bongo kuwa Tasnia ya Filama Bongo Hailipi kabisa kwani
walio shikilia soko wana Masharti magumu sana hivyo kujikuta msaanii
hapati chochote ...Amezidi kusema kuwa ni bora aende akalime..Amesema
kuwa akipata mfadhili wa kumpa Trekta basi atahama mjini na kwenda
kulima kijijini...
Kauli hiyo inapigilia msumari kauli
nyingine alie itoa msaani Nguli wa Bongo Flava Kala Jeremiah aliyosema
kuwa hana sababu ya kuingia kwenye Tasnia hiyo kwani Hailipi hapa
Bongo.....
Unaonaje ?
0 comments: