Hizi ni mishe zinazotokea kila siku inayoitwa leo,sasa leo kupitia Idara
ya Hekaheka inayo taarifa juu ya huyu Mwalimu aliyekua akimfundisha
mwanafunzi masomo ya jioni lakini kilichokuja kutokea baadae ni
Ujauzito,sikiliza mazingira jinsi ilivyokuwa,sikiliza kupitia 98.6
Clouds Fm Musoma.
0 comments: