WEMA SEPETU"NIKIFA MIMI LEO AU KESHO NIAGWE UWANJA WA TAIFA"
Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema
amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania aka Bongo akisema
kuwa Akifa yeye Basi Aagwe uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa
Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu
maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampaka kila mtu chance
ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa


0 comments: