WIMBO MPYA WA OMMY DIMPOZ HUU HAPA -NAJARIBU KUUSIKILIZA MARA NYINGI NYINGI ILI NIPATE CHA KUONGEA
Nimekutana na huu wimbo mpya wa Ommy
Dimpoz unaoitwa Miss Koi Koi...Nijaribu kuusikilizaa mara nyingi labda
utaniingia ..ila kwa haraka naona kama wakaiwada ukilinganisha na nyimbo
zake zilizopita..Embu na wewe sikiliza uone..alafu utoe maoni yako:
0 comments: